Kifurushi cha Barcode ya Biashara yenye mfumo wa EAN-13
UNATUMIWA BARCODE YAKO PAPO HAPO. Barua pepe yako itakuwa na Barcode zako, picha za Barcode (katika miundo 4 tofauti: jpeg, png, svg, & pdf , usajili wa Barcode zako na cheti cha uhakikisho kinachosema kuwa wewe ndiye mmiliki pekee wa kisheria wa hizo barcode
Utumaji barua pepe papo hapo ikiwa tumehakikisa malipo yako ya barcode.
Asante kwa kutoa kutupa uduma ya Barcodes kwa bidha zetu! mna Huduma bora
Mtei Edgar
1/24/2022
I REALLY APPRECIATE FOR EFFOTS DONE BY MR ERIC HE HELPED ME ALOT AND HE IS HELPING ME WHEN EVER I NEED HIS HELP, THIS BARCODE HAS HELPED ME IN PROMOTION OF MY BUSINESS, AND RAISED VALUE OF MY PRODUCTS